Burudani

Zola D kurudi tena Ulingoni

Zolla_akiwa_na_Aurola

Mwanamasumbwi Michale Mlope ‘Zola D’, ameandika kwenye ameeleza kwamba mnamo Julai 30, anaratarajia kupanda jukwaani kumvaa mwanamasubwi mwenzake kutoka Uganda katika uzito wa juu kwa afarika mashariki na Afrika mashariki ya kati katika mtindo  Mixfight.

 

 

 

Aliwaambia kupitia mashabiki wake, kwenye Facebook na Bongo5, kwamba dua zao ni muhimu sana katika pambano hilo ingawa anajiamini sana, kwakuwa anatarajia kuendeleza kuwa Kin of ring, kwa kutetea kila pambano hasa baada ya kukimbiwa la mara kwanza na Kiza Kinene.

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents