Michezo

Zola D, kupambana na Kiza kinene

Zolla

Mwanamuzik na mwigizaji, muigizaji na mchezo MixFigher nchini ‘Boxer’ David Mlope, Zola D anataraji kupanda ulingoni hivi karibuni kumenyena na mpinzani wake wa muda mrefu Kiza kinene.

Amesema katika pambano hilo haitaji kufanya makosa, kwani anaamini uwezo wake ni mkubwa kuliko hata Kiza kinene.

 

 

ngumi_jiwe_na_Zolla

Zolla_na_zoezi_la_ngumi

zolla_na_mzungu

Zolla_D

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents