Promotion

Zodiak Party: Taurus Edition kufanyika April 26, Club 327

Baada ya party ya Aries iliyofanyika March 29 na kufana, sasa ni zamu ya Taurus (waliozaliwa kuanzia April 20 mpaka May 19) kufanya yao.

zODIAK

Akizungumza na Bongo5, mratibu wa party hizo, Nadia Taylor wa Zodiak Entertainment anasema:

The event is getting bigger and better’ team aries walicelebrate in style na ilivuta watu wengi kutoka class tofauti tofauti za maisha kucelebrate pamoja b’day zao….pia kulikuwapo na celebrities mbalimbali wanaowakilisha Aries na watu waliokuwa na b’day zao that day walipata nafasi ya kukata keki na kuimbiwa na watu waliohudhuria. Ila this time around tarehe 26 Jumamosi ijayo mwezi wa nne team Taurus will be bringing the heat at club 327, itakuwa time yao kucelebrate pamoja birthday zao, kama kawaida kutakuwa na surprises kibao, kuanzia watakaoperfom, MC, DJ, na activities zitakazokuwepo kifupi ni kuhave fun mwanzo mwisho.

Kinachotizamiwa hapa na watu wengi ni je! Taurus watawafunika Aries!? Interms of partying idadi ya watu na celebration kiujumla party ipi itakuwa ndo kali ile ya Aries au Taurus kwa Taurus wana kazi ya ziada kudhihirisha nguvu yao katika kupati, pia kutakuwa na special cakes zitakazokuwa customized kwaajili ya Taurus. Ninachoweza kusema itakuwa event nzuri zaidi so team Taurus everywhere wanakaribishwa kujumuika pamoja Jumamosi hii ya tarehe 26, vinywaji vipo vya kila aina good music na good activities be part of entertainment revoltion.”

Zodiak Entertainment ni waratibu rasmi wa Zodiak parties ambazo hufanyika kila mwezi jijini Dar es Salaam zikihusisha team Capricorn, team Aries, team Cancer, team Taurus, team Libra, team Leo, team Gemini, team Scorpio, team Virgo, team Pisces, team Aquarius na team Sagittarius.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents