Technology

Zitto Kabwe apongeza nguvu ya mitandao ya kijamii kwa kusababisha kusitishwa kwa ajira katika idara ya uhamiaji

Nguvu ya mitandao ya kijamii hususan Facebook, Twitter na forums mbalimbali, inafahamika kwa kusababisha mashinikizo makubwa kwenye serikali nyingi duniani.

social-networks-masthead.20131010231035

Mfano hai ni jinsi mitandao hiyo ilivyopelekea idara ya uhamiaji kusitisha ajira zake.

“Uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani kusitisha ajira ya idara ya uhamiaji ni hekima sana. Hii pia inaonyesha nguvu ya social media nchini. Malalamiko ya wananchi yalianzia jamiiforums kisha Facebook, Twitter na Instagram. Pia whatsapp groups. Magazeti yakashika na Serikali kuchukua hatua. Mdogo mdogo Social media inaanza kuwajibisha. Ni hatua nzuri katika demokrasia,” ameandika Zitto Kabwe.

wekaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents