Bongo Movie

ZIFF yazinduliwa Bilis

By  | 

Dully_shjoo_face

Wasanii wa bongo Fleva, jumapili walifanya uzinduzi wa tamasha la filamu la Zanzibar maarufu kama Tamasha la Majahazi ZIFF, pale Bilicanas. Katika tamasha hilo liliudhuliwa na wasanii, mbalimbali akiwemo Dully Sykes, Madee, Tunda Man, Desso na Dogo janja wa Tip Top Connection, na Hard Mad.

 

 

Wamesema tamasha hilo ndiyo mwanzo wa matamasha mengine ambayo yatafanyika Zanzibar, yanayohusiana na filamu na muziki kwa kiwango cha kimataifa. katika tamasha hilo ambalo litapambwa nawasanii wengi akiwemo Shaggy, na Oliver Mtukuzi.

Dully_shoo
Dully akijiandaa kupanda jukwaani.
Dully_shoo2
Mashabiki wakishangalia.
Dully__shoo_kiba
Alikiba na Madee wakiwa katika chumba cha Staff baada ya kutoka jukwaani.
Hardmard_shoo2
Mwanamuziki Hard Mard akitumbuiza katika tamasha la uvumbuzi wa Tamasha la filamu la Zanzibar, maarufu kama tamasha la ,majahazi ZIFF

Madee_shoo_3

Tip Top Cponnectioni, watoa buludani kwa mashabiki wao.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments