Habari

Ziara ya kushtukiza ya Rais Magufuli bandarini yabaini mapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli jana alifanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa maelekezo aliyoyatoa kwa nyakati tofauti juu ya kudhibiti udanganyifu wa mizigo inayoingia na kutoka nchini kupitia bandari hiyo ikiwemo usafirishaji wa mchanga wa madini kwenda nje ya nchi.

Rais Magufuli amefanya ziara hiyo Alhamisi hii.

Hii ni taarifa yake:


Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents