Burudani

Z-anto aanzisha biashara

Msanii anayefanya vyema hivi sasa na ngoma yenye jina la Kisiwa cha malovidave, Z-anto ameamua kuwa mjasiriamali badala ya kutegemea muziki peke yake ambao ameutaja kuwa ni game ambayo inakuja na kupotea, siyo kitu cha kukiamini moja kwa moja.

Z-Anto alitamka kwamba. “Nimefungua salon yangu, inaitwa Kwe2 Salon, ipo Kigamboni karibu na kivukoni, imepakana karibu na kituo cha mafuta. Huduma zote zipo, ni kubwa na ya kisasa zaidi kwani imegawanyika sehemu mbili, upande wa kike na kiume.

“Nimeamua kufungua salon kwa ajili ya kuendeleza life yangu tofauti na sanaa coz siyo kila siku nitafanya shoo,” alisema.

Big up Z-anto kwa ujasiriamali wako, wadau twenzetuni basi pande hizo tukapendeze na kumuunga mkono mshikaji wetu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents