Burudani

Young Money yajiandaa kurudi upya

Baada ya kuonekana kwenye picha ya pamoja, Drake, Nicki Minaj na Lil Wayne sasa kaa tayari kusikia kitu kipya kutoka kwa Young Money.

Drizzy amethibitisha ujio mpya wa kundi hilo wakati wa show yake ya ‘The Boy Meets World Tour’ iliyofanyika Jumapili iliyopita ya Februari 5 mjini London.

“I just got off the phone with Nicki and she told me to tell y’all, ‘Hello, We might have to do something special. We might have to do some Young Money reunion shit out here this summer,” amesema Drake kwenye tamasha hilo.

“I might have to bring all my friends from America, all my friends from Canada, the whole OVO.” Ni takribani miaka miwili Drake na Nicki hawajaonekana pamoja huku sababu kubwa ikichangiwa na ugomvi wa Drake na ex wa Nicki, Meek Mill.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents