Burudani
Young Killer afunga ndoa ….. kwenye kava la single mpya ‘Umebadilika’
Ukimuuliza Young Killer utaoa lini? Huenda akawa na jibu tofauti kidogo na lile la Mwana FA. At least July 22 atakapoachia single yake mpya ‘Umebadilika aliyomshirikisha Banana Zorro, anaweza kukujibu ‘bado nipo nipo kidogo’. Kama lilivyo jina la single yake, yeye mwenyewe amebadilika pia kwakuwa ameamua kurekodi wimbo wake na producer Man Walter ambaye hajazoeleka sana kwa nyimbo za hip hop.
Kava la single mpya ya Young Killer