Burudani
Young D kuzindua video yake mpya Billcanas
mwanamuziki Young D anataraji kuzindua video ya wimbo wake mpya ikiwa kama Suprise kwa mashabiki wake watakao fika siku ya 18 Dec pale Billcanas, huku aisindikizwa na vichwa kibao, Toka ThT Mataluma, Tip Top Connection ni Madee na Tunda aman na wengi kibao