Young D kuchuana na Suma lee


Pin It

youbg_d_na_mom

Mwanamuziki Young D anatarajia kufanya tamasha katika ukumbi wa Bilicanas katika jumapili hii. mwanamuziki huyo atakuwa sambamba na mwanamuziki  toka Tanga Suma lee katika tamsha hilo.

 

 

Young D anatarajia kuimba nyimbo zake kama Teacher, Mzuka, Young D na nyimbo yake ambayo imekuwa ikikamatia katika nafasi za juu Tunapeta.

Wakati Suma lee ataachia Chungwa, Hesabu za mapenzi,na wimbo wake mpya wa Hakunaga

Suma-Lee-newweb
Suma lee

 

Pin It

Add a comment

comments