Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Yemi Alade kuachia video ya wimbo wake maalum wa ‘Valentine’s Day’ Jumatatu ijayo

By  | 

Yemi Alade ameahidi kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Sugar & Space’ Jumatatu ijayo.

Muimbaji huyo wa Nigeria amedai wimbo huo ni maalumu kwa ajili ya siku ya wapendanao ‘Valentine’s Day’ February 14 kila mwaka.

“VALENTINE CAME EARLY…. #SUGARNSPICE. ???????????? VIDEO OUT ON THE 9TH – 01 – 2017,” ameandika Yemi kwenye mtandao wa Instagram.

Video ya wimbo huo imeongozwa na Ovie.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW