Picha
Yanga yaendeleze wimbi la ushindi kwa kuifunga black Leopard 2-1
Yanya jana iliendeleza ubabe kwa timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini baada ya kuifunga mabao 2-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Mchezo huo wa marudiano unatokana na ule wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, ambapo wageni hao walipoteza kwa mabao 3-2.