Uncategorized

YANGA YATHIBITISHA UJIO WA MARCIO MAXIMO BONGO JUMAPILI HII


Siku chache zilizopita klabu ya Yanga ilripoti ipo katika hatua za mwisho za kumsaini Marcio Maximo,na mpaka sasa,imefahamika kwamba kocha huyo wa zamani wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Mbrazil, Marcio Maximo anatarajiwa kutua nchini kwa mara nyingine tena toka aondoke nchini mwezi juni mwaka 2010 siku ya jumapili juni 17 saa 9 alasiri atatua kwa mara nyingine tena Bongo kusababisha na klabu hiyo.
Maximo anakuja nchini kuchukua mikoba ya Mserbia wa Yanga Kostadin Papic aliyenyimwa mkataba mpya, baada ya ule wa awali wa miezi 6 kuisha wakati ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2011/12 ukielekea ukingoni.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents