Habari

Wycleif Jean kufanya collabo na Shaa na wasanii wa Coke Studio Africa

Muimbaji wa muziki na kiongozi wa kundi la zamani la Fugees, Wycleif Jean ametua jijini Nairobi, Kenya kwa mradi wa Coke Studio Africa.

image

Msanii huyo kutoka Haiti atarekodi wimbo na wasanii mbalimbali wa Afrika akiwemo Shaa kama sehemu ya kipindi hicho.

Shaa ameshare picha akiwa na Wycleif na kusema ndoto yake imetimia.

“Wyclef…Dreams do come true…. #GodisGreat #ComingSoon”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents