Burudani

Word on the street: Uhuru Kenyatta kuwadondosha Rihanna, Chris Brown na Nicki Minaj kwenye sherehe za kuapishwa?

Kuna tetesi kuwa timu ya Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta iko busy kwelikweli kufanya mazungumzo na mastaa wa muziki wa Marekani Rihanna, Chris Brown na Nicki Minaj ili waende kutumbuiza kwenye sherehe za kuapishwa kwake.

uhuru

Kama ni kweli, bahati mbaya jitihada zao zinaweza zikaishia sakafuni kutokana na ubusy wa wasanii hao. Na kama wakifanikiwa hata kumpata mmoja wao, hizo zitakuwa ni sherehe za kuapishwa kwa rais za nguvu zaidi katika kipindi kirefu.

Uhuru Kenyatta akiapishwa atakuwa rais tajiri zaidi kuliko wote Afrika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents