Burudani

Wizkid amkosha Rais wa Gambia kwenye sherehe za Uhuru wa nchi hiyo, Rais amuomba arudie show siku iliyofata

Wizkid alienda nchini Gambia kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe za Uhuru wa nchi hiyo zilizofanyika Jumamosi iliyopita Feb.28.

wizkid na Rais wa Gambia

Baada ya kumkosha Rais wa nchi hiyo kwa kufanya show kali mbele ya umati mkubwa wa watu waliohudhuria, alijikuta anaongezewa show ya pili kesho yake likiwa ni ombi la Rais huyo aliyekiri kuwa shabiki wake.

Wizkid amepost picha na kuandika kuwa Rais huyo alipenda performance yake na kumuomba arudie kufanya show nyingine kesho yake ili kuwafurahisha watu.“With the President of The Gambia!! He loved the performance he wanted me to perform twice to the people!!! They loved it!! Love.”

wizkiiiiiii

Katika Tweet nyingine akaandika:

“Show was so dope The President wants me to perform to the people again today! So meet me at Banjul my people!! We go all the way up! Blessed”.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents