Burudani

Wizkid aizungumzia beef yake na Davido, asema hana beef na mtu (video)

Hivi karibuni Davido alihojiwa na kituo cha Sahara TV (Iko hapa) na kusema kuwa hana beef na Wizkid, lakini baada ya hapo waliendelea kurushiana vijembe kupitia mitandao ya kijamii. Hatimaye Wizkid naye amefanya mahojiano na mtangazaji aitwaye Olisa Adibua kupitia kipindi chake cha TV ambaye alimuuliza kuhusu beef hiyo.

Kuhusu beef anzia dakika 9:20

“That situation was just so funny to me because we were all on the same flight. I got back, I was really tweeting about my show. I was talking about myself. I had a show in New Yorkbefore that, that was like a year ago, or two years ago, it was sold out, sound was bad, venue we used was crazy….it was f**ked up. I land for airport nah, I was going to my hotel, drove through the venue, I saw my name in lights, and I saw my venue and I was like “Wow! This is me?” Came down, took a picture , posted it – I do proper shows, proper venues. People started catching feelings” Continue…
“Everyone should be mad at that. If that was the case, then everyone like Iyanya, everyone that has done shows in the US should say something.

“When I saw that, it was funny. It was all just play. I no get time abeg. I do proper shows. So if you get mad at that, that means, why you mad? You don’t do proper shows, proper venues? Why are you mad? I wasn’t talking about nobody. I was promoting my show. I feel like if I’m doing something for myself, happy about my success and you are hating at my success, I don’ know what to say to you. Should I consider you as a friend or foe? I don’t know”

Alipoulizwa kama anaweza kumchukulia Davido kama rafiki, hiki ndicho alijibu…

“mimi niko poa na kila mtu, kama hutanifuata sitakufuata, ukiniombea nitakuombea. Ukiapa kwa ajili yangu nami nitaapa Mungu akuadhibu”.

Nina mtoto wa miaka mitatu, nina mambo muhimu zaidi ya kufanya kwenye maisha yangu. Nina matatizo ya kimaisha, so sipo kwaajili ya beefs. Nataka tu kuishi maisha yangu!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents