Burudani

Wimbo wa Chris Brown ‘Loyal’ wafikisha mauzo ya Platinum wiki hii

Single ya Chris Brown ‘Loyal’ imemuongezea sababu za kuwashukuru mashabiki wake kwa kumuwezesha kufikisha mauzo ya Platinum wiki hii.

chris-brown2

Loyal ambayo amewashirikisha Lil Wayne, Tyga, French Montana imefanikiwa kufikisha mauzo ya nakala milioni 1 za digital wiki hii.

.

Kupitia Instagram Breezy amewashukuru mashabiki wake:

loyal

“1,000,000 units! #Loyal has now reached platinum sales. Thank you Team Breezy!”

Mpaka sasa video ya wimbo huo ina views 102,981,065.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents