Burudani

Wimbo mpya wa Nicki Minaj ‘Anaconda’ unaotarajiwa kutoka rasmi Agosti 4 umevuja, Usikilize hapa

Wiki hii Nicki Minaj alitangaza kusogeza mbele tarehe ya kutoa single yake mpya iitwayo ‘Anaconda’ ambayo hapo awali ilipangwa kutoka Jumatatu ya Julai 28, na sasa itatoka Jumatatu ya Agosti 4. Lakini jana single hiyo imevuja na kuanza kusambaa mtandaoni japo ikiwa na ubora mdogo (LQ). Isikilize hapa.

http://youtu.be/Zvw8X4Wk32k

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents