Burudani

Weusi kuuza album yao mtandaoni kukwepa maharamia

Licha ya kukithiri kwa tatizo la wizi wa kazi za sanaa Tanzania, kundi la muziki la Weusi lina mpango wa kuuza album yao kwa njia ya watu kudownload mtandaoni.

WEUSI_full

Msemaji wa kundi hilo, rapper Nikki Wa Pili amesema kuwa wanaamini kwamba hiyo ni njia itakayowapunguza nguvu maharamia wa kazi za wasanii.

“Plan yetu ni kuweka kwa njia kama ya Mkito, na sisi tulikuwa tunajaribu kuongea na jamaa kama wa Mkito tunaweza tukatoa album yetu kule then watu waka-download. Tunafikiria kwa namna hiyo angalau watu watajua album ya Weusi inapatikana lakini kwa njia ya kudownload kwahiyo hapo itakuwa imetoa information ambayo itamkwepesha huyu pirate na vile ambavyo tunatangaza. ..tunaona njia safe ni kuuza kupitia watu kudownload.” Alisema Nikki Wa Pili kupitia 255 ya Clouds Fm.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents