Burudani

Weusi kujitambulisha rasmi Maisha Club

joh_makini_cpwaa

Kundi la muziki la kizazi kipya Weusi ‘Good Music Family’ kutoka Arusha linatarajiwa kuzinduliwa rasmi leo Maisha club.  Msemaji wa kundi hilo Nicki wa pili’ amesema pia utafanyika uzinduzi wa

 


video mpya ya Joh Makini ‘Bye bye’, na kutambulisha fulana zao, na kutoa stori fupi ya kundi hilo lenye muunganiko wa makundi mawili  Liver Camp Solders na N2N  Army.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents