Michezo

West Ham imekamilisha usajili wa mshambuliaji Simone Zaza kutoka Juventus

Klabu ya West Ham inayoshiriki Ligi Kuu England, imekamilisha usajili wa mshambuliaji Simone Zaza kutoka Juventus ya Italia.

37A61C2100000578-3762111-image-a-14_1472377091521

37A617C100000578-3762111-Simone_Zaza_s_move_from_Juventus_to_Premier_League_side_West_Ham-a-10_1472376897297

West Ham imetoa pauni milioni 4.3 ingawa dili hilo ni la pauni million 17.

Zaza alipata umaarufu mkubwa kati michuano ya Euro nchini Ufaransa baada ya kuingia dakika za nyongeza ikionekana ameingizwa kusaidia kupiga penalti lakini alikosa penalti baada ya kupaisha.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents