Wema,Aunt, Jokate, Barnaba na Stars wengi Shine at Diamonds Are Forever Concert!!


Pin It

Red Carpet Interview


Wadau, Baada ya show ya Jana ya Diamonds are forever,Tunakuletea Pics kutoka Mcity ya Stars waliiojitokeza kushow love.
Check these Out!

Wema Sepetu in the Building! akiwa amesindikizwa na Martin Kadinda in Full Black on Black


Steve Nyerere


Sinta na Jokate


Sinta akijiachia na DiamondJokate also in the Building with b-12 wa Clouds fm XXL


Ommy Dimpoz


Adam Mchomvu na B12Producer Lamar, Steve Nyerere na Kim K Mbonie Masimba


Amini na BarnabaMama Diamond alikuja kumshow Mwanaye Love


Pin It

Add a comment

comments