Wema Sepetu

Wema Sepetu kuonekana kwenye video ya muziki ya msanii huyu..

Ulishawahi kumuona Wema Sepetu kwenye video ya muziki ya msanii wa Bongo? Mara ya mwisho ni kwenye video ya aliyekuwa mpenzi wake, Diamond ya Moyo Wangu, nyingine?

10e26cc8c20e11e28c6122000aa8013a_7

Na sasa awamu hii, Wema ataonekana kwenye video mpya. Guess ni msanii gani!! Ofcourse ni kijana wake aliyemsainisha kwenye kampuni yake, Endless Fame Films, Mirror.

Akiongea kwenye Clouds E ya Clouds FM, Mirror amethibitisha kuwa video yake ijayo itakuwa na cameo ya ‘madam’ mwenyewe, Wema. I guess itakuwa ni miongoni mwa video kali kabisa za mwaka huu. Can’t wait.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents