Habari

Wema Sepetu kuikata keki ya Nyandu Tozi Jumapili hii ataposherehekea siku ya kuzaliwa Maisha Club

Rapper Hamidu Salim Chambuso aka Nyandu Tozi anatarajia kusherehekea siku yake ya kuzaliwa Jumapili kwenye ukumbi wa Maisha Club. Katika siku hiyo muhimu kwenye maisha yake, Nyandu ataizindua rasmi ngoma yake mpya, ‘Kwa Mafans’ aliowashirikisha Young Killa, Young Dee na Belle 9.

IMG-20130704-WA000

Muigizaji Wema Sepetu atakuwepo kwenye party hiyo kuikata keki ya birthday ya Nyandu Tozi.

“Kila siku watu walishazoea kufanya birthday home nini kuungana na ndugu na jamaa, nikaona mafans wangu siwezi kuwachukua nikawaweka home hawawezi kutosha, nikaona kama vipi tutafute eneo hapa town ambayo inaweza ikakick tuweze kukutana na marafiki, mafans ambao ambao wengine tunachekiana tu kwenye simu,” Nyandu ameiambia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents