BurudaniWema Sepetu

Wema Sepetu athibitisha kuwa na uhusiano ‘serious’ na Diamond ‘tumekuwa power couple’

Wema Sepetu amethibitisha kuwa kwa sasa yeye na Diamond Platnumz wana uhusiano imara wa kimapenzi ukilinganisha na zamani.

wema na diamond

Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, leo, Wema amesema kuwa mapenzi yake na Diamond yamekuwa na nguvu kutokana na kudumu kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4.

“Kweli niko na Nasib na nadhani muda huu kutakuwa na utulivu ndani yake,” amesema. “Ule utoto tuliokuwa tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka mwaka 2010 kwahiyo tuna ni miaka 4 sasa. Kwa sasa tumeamua kuwa serious.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents