Burudani

Weasle na Radio wapagawisha

Kijitonyama_Weasly_nna_Radio_face

Wanamuziki toka Uganda Radio na Weasle, wakiwa katika tamasha la wasanii waliochukua tuzo za Kili Musiki, kuwapongeza mashabiki wao kutokana na mchango wao wa kuwapigia kura, katika kinyanyiro cha kili.


Katika onesho hilo lilipamba na wanamuziki mbalimbali, wapo waliopokea tuzo na wengine ambao hawajapokea tuzo ila  wamekuja kuwasindikiza wenzao ambao wamepokea tuzo.

Kijitpnyama_JCB

Mwanamuziki Jacob Makala, akiwa na rafiki yake wakitoa buludani kwa mashabiki wao ambao wamekuja kuwapongeza.
Kijitonyama_mapancha_na_madensa

Mapacha watatu wakiwa na madensa wao, wakitoa buludani kwa mashabiki.

Kijitonyama_Mapacha

Kijitonyama_kikombe_cha_babu

Mapacha watatu, wakipata kikombe cha babu ikiwa ni moja ya staili yao ya kuimba
Kijitonyama_Linah

Mwanamuziki Linah akitoa burudani kwa mashabiki wake.
Kijitonyama_kharid_Chokoraa

Kijitonyama_Chokoraa

Mwanamuziki toka katika kundi la mapacha watatu, Kharid Chokoraa akitoa buludani
Kijitonyama_Barnaba

Mwanamuziki toka THT, Barnaba akiimba.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents