Habari

Wazungu wamshambulia Michelle Obama kwa kauli yake ‘the blood of Africa runs through my veins’

First lady wa Marekani, Michelle Obama ameipa shavu Afrika leo kwenye hotuba yake mjini Washington DC mbele ya vijana 500 wa Afrika waliopo nchini humo kwa kudai kuwa ‘damu ya Afrika inatembea kwenye mishipa yangu’.

“Mizizi ya miti ya familia yangu ipo Afrika,” alisema Michelle mbele ya umati huo wa vijana. Mume wa baba yangu alizaliwa na kukulia Kenya. Baadhi ya ndugu wa familia yetu kubwa wanaishi huko. Nimefurahia kusafiri kwenda Afrika mara kwa mara ikiwa pamoja na safari nne kama First Lady, na nilimpeleka mama yangu na wanangu pale ninapoweza. Damu ya Afrika inatembea ndani ya mishipa yangu, na najali sana,” alisema

Hata hivyo kauli hiyo imewakwaza Wamarekani wengi wazungu.

“Michelle Obama should go back to Africa, she hates America and doesn’t know anything about her heritage They were already slaves in Africana,” ameandika mmoja.

“Oh please, you are lucky to have been born in the US. If you were in Africa most likely you would have been raped and had your tits sliced off just for being from the wrong tribe,” ameandika mwingine.

“Only African Blood? Not a drop of American Blood? No white daughters huh?Go back to Africa, your blood runs cold here,” maoni mengi yanasomeka.

“I thought we are Americans first. No wonder their ideology does not bode well for america, they seem to love their native Africa more than America yet it was America that gave them opportunity.”

“I would say the blood of African monkeys runs through her veins.”

“I think Africa is a good place to buy a house. You won’t be safe in America, with all the things you’ve said and done. Read the rest of the comments, I’d say you are not liked.”

“Then I think Michelle you should go back to Africa, you would be much happier there.”

Bonyeza hapa kuona maoni mengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents