Picha

Watu wawili waliokuwa wakishikilia mateka kanisani wauawa Ufaransa

Watu wawili waliokuwa na silaha na waliokuwa wameshikilia mateka kwenye kanisa moja huko Rouen, Kaskazini mwa Ufaransa wameuwa.

police-nice-arrestations

Mateka mmoja pia ameuawa. Watu hao walikuwa wakishikilia mateka watu wanne hadi sita kwenye kanisa la Saint-Etienne-du-Rouvray.

Padre, watawa wawili na waumini walikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wameshikiliwa. Polisi wamelizunguka kanisa hilo na watu wameambiwa kukaa mbali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents