Picha

Watu 26 wauawa kufuatia shambulio la kigaidi nje ya uwanja wa soka Uturuki

Milipuko miwili imetokea kwenye mji wa Istanbul nchini Uturuki jioni ya Jumamosi, likiwemo gari lililolipuka kwenye uwanja wa soka na kuua watu 29, huku 199 wakijeruhiwa.

3b41b9ee00000578-4020812-image-a-80_1481421219536

Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo, Suleyman Soylu amesema shambulio hilo limefanywa na mtu aliyejitoa muhanga na kwamba polisi walikuwa wamelengwa zaidi.

3b4025d900000578-4020812-a_suspected_car_bomb_has_racked_the_streets_near_istanbul_s_besi-a-3_1481413089142

Milipuko hiyo imetokea masaa mawili baada ya mechi ya timu za soka za Besiktas na Bursaspor.

3b4025c900000578-4020812-police_arrive_at_the_site_of_an_explosion_in_central_istanbul_wh-a-4_1481413089285

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents