Technology

Watu 200,000 duniani watuma maombi kwenda kuishi milele kwenye sayari ya Mars

Tiketi ya one way kwenda kuishi kwenye eneo tasa, lenye ardhi ya ajabu, joto linaloweza kugota 150°C, inaweza isiwe na mvuto kwa wengi, lakini mpaka sasa watu laki 2 kutoka nchi 140 duniani wametuma maombi yao kuwa sehemu ya wakoloni wa kwanza kwenda Mars.

http://www.youtube.com/watch?v=vSYrHpAqFrk

Waombaji wamekubali kuishi kwenye sayari hiyo nyekundu kwa maisha yote yaliyosalia na watashutiwa kwenye reality TV show.
article-0-16D5B5EA000005DC-73_634x242

Kampuni ya Uholanzi ya Mars One inajiinda kwenda kwenye sayari hiyo October 2016 kuandaa mazingira na makazi kuwekwa huko mwaka 2018.

article-2259706-16D5B5DE000005DC-319_634x322
Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi Mars

Imesema kuwa mifumo ya kwenda huko itajaribiwa mara 8 kabla haijatumiwa kusafirisha watu na kwamba safari itakuwa salama kuliko ile ya kwenda mwezini.

Source: Daily Mail

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents