Burudani

Picha: Watoto walioshinda shindano la picha la Ommy Dimpoz wakabidhiwa mkwanja

Watoto wa wawili, Shaniya na Ally wa Moshi, wamekabidhiwa mkwanja wao, baada ya kushinda shindano la Pozi Kwa Pozi lililoandwaliwa na Ommy Dimpoz.

OMMY
Picha iliyowapa ushindi Shaniya na Ally walioshinda shilingi laki tatu

Katika shindano hilo Ommy aliwataka mashabiki wamtumie picha wakiwa katika mapozi mbalimbali mshindi kujishindia shilingi laki 3. Ommy amesema katika shindano lijalo atatoa zawadi ya shilingi milioni 1.

94c26fd0777f11e3867612fc28297605_8
Shaniya na Ally baada ya kupewa chao

Kwenye picha hiyo Ommy ameandika: Washindi wetu wa #pkp #pozkwapoz #laki3 ambao ni mtu na nduguye Shaniya na Ally wakiwa kwenye mapozi na Mpunga wao baada ya kuwafikia ni wakazi wa moshi….Mashaallaah Mungu Awajaalie Waendelee kupendana Inshaallaah tukutane tena kwenye Milioni moja Andaa kabisa Mapozi.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents