Habari

Watanzania waanzisha mtandao wa kijamii na kiuchumi, ‘Mambopoint’

mambo point

Mtandao wa kijamii na kiuchumi uitwao mambopoint.com umeanziswa na watanzania ukiwa na lengo la kuimarisha usalama wa matumizi ya mitandao ya kijamii nchini.

Mbali na kufurahia huduma za kupost picha, kupeana comment na Admires (likes) ku-update status na live chatting mambopoint.com imezingatia mahitaji ya vijana wa kitanzania ambao wengi wanatafuta ajira hivyo kutoa huduma ya kuona matangazo mbalimbali ya kazi zinazotangazwa kila siku.

Ukiangia kwenye anuani ya mtandao huo upande wa kushoto kunaonekana link mbalimbali kama vile Job, find friend, career na vingine ili kumwezesha mtumiaji kutumia mtandao huo kwa urahisi zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents