Burudani

Madesigner watatu kutoka Tanzania washirikiana kuandaa tamasha la ‘Dicota 2016’ nchini Marekani

Industry ya fashion imezidi kushika kasi hapa Bongo. Mpaka sasa watu kibao wamepata umaarufu na kuingiza fedha nyingi kupitia mitindo.

13072095_1165513173482944_946499737_o

Watanzania watatu ambao wanaishi nchini Marekani, Asya Idarous, Judy na Flora ni madisigner wa kitanzania ambao wameandaa tamasha la mitindo linalioitwa ‘Dicota 2016’ ambalo litafanyika, April 29 kwenye ukumbi wa Hyatt Regency North Dallas nchini Marekani.

Asya ameamua kutanua soko lake kimataifa baada ya tamasha lake la mitindo la ‘Lady in Red’ kufanya vizuri Afrika Mashariki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents