Burudani

Wasanii wawasili Moshi tayari kupiga show ya Kili Music Awards Winners Tour

Baadhi ya washini wa tuzo za Kilimanjaro Music Awards, wamefika mjini Moshi kwa ajili ya kupiga show ya Winners Tour. Wasanii hao walitembelea baadhi ya maeneo ya mji huo ambamo walitembelea Kil Fm kwa ajili ya kupiga promo ya show hiyo.

Kili Winners tour Moshi inatarajia kufanyiko mjini humo kesho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents