Siasa

Wanasiasa wa Tanzania wenye ‘followers’ wengi Twitter

090201-N-0506A-087

Katika miaka miwili iliyopita tumeshuhudia mitandao ya kijamii hususan Facebook na Twitter ikitumiwa si tu kama mitandao ya kupotezea muda bali mitandao muhimu inayotumia na makampuni na wanasiasa kuelezea mambo yao.Makampuni na mashirika mengi ya Tanzania kwa sasa yana akaunti kwenye mitandao hiyo ambapo yameajiri watu maalum kuiupdate.

Wanasiasa nao wamekuwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii huku mtandao wa Twitter ukionekana kupendwa zaidi.Hii ndio orodha ya wanasiasa wenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa Twitter:

1. Rais Jakaya Kikwete

46,502 Followers
11 Following
1,300 Tweets

2. Zitto Kabwe

39,776 Followers
1,215 Following
12,410 Tweets

3. January Makamba

24,290 Followers
2,565 Following
6,908 Tweets

4. John Mnyika

12,311 Followers
10,631 Following
1,900 Tweets

5. Halima Mdee

10,654 Followers
855 Following
2,126 Tweets

6. Shyrose Bhanji

8,980 Followers
290 Following
7,163 Tweets

7. Mohamed Dewji

7,225 Followers
44 Following
1,118 Tweets

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents