Burudani
Wakazi leo kuzindua video ya ‘Wanawake wa Dar’
Rapper Wakazi leo atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake ‘Wanawake wa Dar’. Uzinduzi huo utafanyika M.O.G Bar and Restaurant jijini Dar es Salaam.
Kwenye uzinduzi huo pia teaser ya wimbo wa Lady Jaydee ‘Forever’ itaoneshwa.