Burudani

Waje na Tiwa Savage kuachia ngoma ya pamoja ‘Onye’

Hebu fikiria waimbaji wawili wa kike wanaopendwa zaidi nchini Nigeria wakifanya ngoma moja!! Waje ataachia ngoma iitwayo ‘Onye’ akimshirikisha Tiwa Savage hivi karibuni.

10538762_744308782292442_2129661374_n

Tazama video zao hapo chini na kisha ‘imagine’ ukiwasikia wote kwenye wimbo mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents