BurudaniVideos

Wachambuzi wa fashion wanadai Dogo Janja na Fid Q hawakamatiki kwa sasa (Video)

Wachambuzi wa masuala ya fashion aka mitupio, wanadai kuwa Fid Q na Dogo Janja kwa sasa hawakamatiki.

Iko wazi hata ukipita kwenye kurasa zao za Instagram, utagundua kuwa kabati zao zimesheheni viwalo vya nguvu. Mtangazaji wa kipindi cha The Storm cha Clouds TV, Lilliane Masuka ameungana na Ayoub Mrema kuwachambua vyema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents