Bongo Movie

Vitu vya Bongo fleva na Bongo Movie

dansi_bongofc

Hakika kila sehemu wanapokaa wasanii basi vituko huwa havikosi. Siku ya mechi ya Hisani ya kukusanya fedha kwaajiri ya kuchangia, waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto  kati ya Timu ya mpira wa miguu Bongo Fleva Fc na Bongo Movie nako vituko mbali mbali vilijitokeza, ilimradi kuleta hamasha kwa watu ambao wanasikiliza kupitia redio iliwaweze kusogea sehemu ya tukio.

Miongoni mwa matukio hayo ya kuchekesha pale Bi mwenda, Mzee Mgari , Mboto na Chopa, walipogeuka waganga na kuanza kujifanya wakiroga, huku wakisema kwamba hakuna mtu kufunga, zaidi ya wao kufunga mabao matatu. lakini hatmaye kibao kikageuka na kufungwa wao mbili bila, ambayo yalifungwa na H. baba na kufanya Bongo Fleva Fc kuibuka na kombe.

 

Michael Mlope ‘Zola D’ naye alikuwa na Vuvuzera lake, hakika ilikuwa raha na karaha ya vuvuzera, ila yote ilifanywa kwa lengo la kuvutia wengine.

 

Shemejiiii, Popoooo, Mkweeeee, Churaaaa, Kiparaaa aka Mack legan, naye alikuwepo kwaajiri ya kushusha buludani kwa niaba ya Ze Origional Comedy.

 

Mwana dada Dokii, naye hakuwa nyuma kwaajiri ya kutoa ile buludani ambayo alitaka kuitoa, yeye akaamua kupiga msamba… lakini sasa……..

 

Wigi likamvuka na nguo kupanda juu, kazi ikawa kuipandisha mbele ya joto la matozi wa Move, ikaleta Move juu ya Move.

6

Mpoki yeye alikuwa na vituko vya aina yake peke yake, na hata uchezaji yeye alicheza kwa vile anavyoona yeye inafaa, hakika ilileta buludani kwa kila mmoja aliyeweza kuudhulia.

7

Joti yeye alianza kumtania Aunt Ezekiel, na hapa alikuwa akigewa onyo, aache utani, lakini haka katoto kama unavyokajua mbona palichimbika bila jembe.

9

Stive Nyerere yeye alikuwa kwenye upande usiojulikana ingawa alikuwa kocha.

100_2089

Kuna kipindi Monalisa na Mama yake Natasha wakageuka kuwa Mc, pamoja wasanii wengine hakika kila mmoja alikuwa Mc kwa upande wake.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents