Bongo Movie
Vincent ‘Ray’ Kigosi kuja na Waves of Sorrow
Baada ya kuachia filamu yake mpya ya Sister Mary, muigizaji mahiri wa Bongo Movie, Vincent Kigosi aka Ray, anatarajia kuachia filamu nyingine hivi karibuni iliyopewa jina la Waves of Sorrow.
Waves of Sorrow inawakutanisha Ray, Nesh Mohamed na Rose Ndauka ikiwa imeandaliwa na kampuni ya RJ na kusambazwa na Steps Entertainment.