Muziki
Video/Audio: Kala Jeremiah ft Nay Lee – Wale Wale
Kala Jeremiah ameachia video na wimbo wake mpya ‘Wale Wale’ aliomshirikisha NayLee. Wimbo umefanyika kwenye studio za Plexity na producer akiwa ni Zest huku video ikiongozwa na Pablo wa kampuni ya Apex.
http://www.youtube.com/watch?v=_2y5hWiw3-s