Videos
Videos: Shilole na wasanii wengine walivyokamua New Maisha Club, Jumapili
Hapa Shilole akiingia stejini
Hapa Shilole na Q Chilla kwa pamoja wakifanya show
Kibao Kata nao walikuwepo
Asia nae alikuwepo kuwapa Mtoto wa Mjini
Husna akifanya yake kwa mauno ya hatari