Habari

Video/Picha:Jerry Silaa awatembelea wafanyabiashara wa soko la Karume lililo teketea kwa moto

Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa amewatembelea wafanyabishara wa soko la mitumba la Karume jijini Dar es salaam, ambao wamepata hasara kubwa baada ya kuibuka kwa moto hapo jana na kuteketeza mali zao.
Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa atembea soko la Karume
Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa atembea soko la Karume
Kupitia instagram Jerry Silaa amesema:Mwenyekiti wa soko ameeleza kilio chao cha kutoondolewa Mchikichini, msimamo wa Halmashauri ni kuwaacha wafanyabiashara hawa waendelee kutafuta riziki halali.

Mmoja kati ya waathirika wa janga hilo anayotambulika kwa jina ‘Juma’ aliweza kuzungumza na bongo5 na kusema chochote kitu kuhusu tukio hilo.Pazama video

Baadhi ya wafanyabiashara wakianza ujenzi
Baadhi ya wafanyabiashara wakianza ujenzi

Vijana wakijaribu kuokoa baadhi ya vitu
Vijana wakijaribu kuokoa baadhi ya vitu

Vijana wakijaribu kuokoa baadhi ya vitu
Vijana wakijaribu kuokoa baadhi ya vitu

IMG_3918

IMG_3919

IMG_3920

IMG_3921

IMG_3922

IMG_3924

IMG_3925

IMG_3926

IMG_3927

IMG_3928

IMG_3929

IMG_3930

IMG_3931

IMG_3947 - Copy

IMG_3947

IMG_3950

Moto

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents