Technology

Video/Picha:India yazindua ‘smartphone’ ya bei rahisi duniani, inauzwa pauni 2.77 sawa tsh 8000

Kampuni moja ya simu nchini `India imezindua simu aina ya smartphone ambayo itauzwa pauni 2.77 sawa shilingi 8000.
freedom_251_04_ndtv

Freedm 251 ni simu ya Android iliotengazwa na kampuni ya Ringing Bells kutoka India huku ikifananishwa simu ya kampuni ya Apple aina ya iPhone 5.

Ina upana wa nchi nne. Ina programu ya Quad-core inayotoa nguvu ya operesheni ya simu hiyo lakini haitumii betri yake mara nyengine.

Hatahivyo ni vigumu kuipima uwezo wake kwa kuwa ina programu chache ambazo hufanya kazi za kawaiada.

freedom_251_6_ndtv

freedom_251_8_ndtv
freedom_251_5_ndtv

freedom_251_9_ndtv

freedom_251_15_ndtv

freedom_251_2_ndtv

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents