Michezo

Video/Picha: Uwanja Shanghai Shenhua ulivyowaka moto Jumanne hii

Uwanja unaotumiwa na klabu ya soka tajiri katika ligi kuu ya China, Shanghai Shenhua ambao anachezea Carlos Tevez umeshika moto Jumanne hii.

https://youtu.be/zURIqT-HufA

Hata hivyo moto huo ulifanikiwa kuzimwa mapema japo chanzo cha moto huo hakijafahamika zaidi. Tazama zaidi picha za tukio hilo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents