Bongo MovieBurudani

Video/Picha: Trailer ya filamu mpya ya Ray aliyoigiza na Wolper, Gabo na Sabby Angel ‘Hard Price’

Vincent Kigosi aka Ray kupitia kampuni yake, RJ Company ameachia trailer ya filamu yake mpya iitwayo Hard Price aliyoigiza na wasanii mbalimbali wakiwemo Jacqueline Wolper, Gabo na Sabrina Tamim aka Sabby Angel. Tazama trailer yake hapa pamoja na picha za screenshot kutoka kwenye trailer hiyo.

http://www.youtube.com/watch?v=nhhO6dNm0nU&feature=share

1

2

3

4

5

6

7

8

9

10

11

12

13

14

15

16

17

18

19

20

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents