Burudani

Video/Picha: Mamia wajitokeza kumzika YP

Msanii wa muziki kutoka kundi la TMK Wanaume Family YP amezikwa Jumatano hii katika makaburi ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Jeneza likiwa linaingizwa makaburi tayari kwa mazishi
Jeneza likiwa linaingizwa makaburini tayari kwa mazishi

Katika mazishi hayo wadau mbalimbali wa muziki, filamu pamoja na wanafamilia wa msanii huyo waliungana kwa pamoja kumsindikiza katika makao yake ya kudumu. Tazama video na picha.

Kaburi la YP
Kaburi la YP
Ndugu wa marehemu akilia kwa uchungu
Ndugu wa marehemu akilia kwa uchungu
Ommy Dimpoz akiondoka baada ya mazishi
Ommy Dimpoz akiondoka baada ya mazishi
Proffesor Jay
Professor Jay
Proffesor Jay, Babu Tale pamoja na mdau
Professor Jay, Babu Tale pamoja na mdau

Temba akiwa katika mazishi ya YP
Temba
IMG_6643

IMG_6648

IMG_6649

IMG_6650

IMG_6663

IMG_6666

IMG_6674

IMG_6677

IMG_6680

IMG_6705

IMG_6728

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents