Videos
Video/Picha: Alaine Laughton awasili Dar es Salaam tayari kwa Fiesta Dar
Mwanamuziki wa Jamaica, Alaine Laughton, amewasili leo jijini Dar es Salaam tayari kwa Serengeti Fiesta Dar es Salaam. Alaine amewasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mida ya saa nne za usiku na ndege ya shirika la Kenya Airways.
Alaine akihojiwa na Clouds TV mara baada ya kushuka kwenye uwanja wa ndege wa JNIA, Dar